Wednesday, November 21, 2012

Nisha Ajitetea Kuhusu Picha za Malavidadavi Alizopiga na Ney wa Mitego






Msanii wa Bongo Movie almaarufu kama Nisha anayefanya vizuri katika sanaa ya hapa Tzee mpaka kupelekea mashabiki wa Bongo Movies kumkubali jinsi anavyobeba husika kamili,sasa basi jana baada ya mitandano mbalimbali kuandika vibaya kuhusiana na picha hizo.Msanii huyu aliweza kupiga story na ze udakuspeciaaly na akasema kwamba hizi picha ambazo zimeenea kwenye mitandao alidai kwamba walikuwa wakifanya shooting ya movie yao mpya,lakini sasa chakushangaza yeye anashangaa na kuona mitandao mbalimbali inaandika habari tofauti kuhusiana na hizo picha.Kwa hiyo alichokuwa anakiomba kwa wewe shabiki wake ufahamu kwamba walikuwa wakifanya movie yao mpya, sema katika mazungumzo hayo Nisha akuweza kutaja jina la movie kwani alisema anataka kufanya suprise kwa mashabiki wa Bongo Movie.@info kamili Nishaa


Love to hear what you think!