Wednesday, April 17, 2013

Baada ya Kajala Kutoka Jela Mapenzi yake na Petit Man yawa Live live

 Mapenzi kati ya hawa wawili sasa yanaonekana live live kupitia BBM na hata kwa washikaji wa Karibu japo mapenzi yalianza hata kabla ya Kajala kwenda jela....Kijana Huyo anajulikana kwa jina la Petit Man ....na ni mmoja wa Wafanyakazi wa Endless Fame Kampuni ya Wema ...Hongera kwao Jamani
Picha hii Akiwa na Boss wake Wema Sepetu .....Nice One


Love to hear what you think!