Thursday, November 22, 2012

Haya Sasa Shilole Nae Aolewa





Star wa Bongo Movies Mtoto mzuri Shilole anaefanya vizuri pia kwenye anga ya muziki wa mduara,yupo katika hatua za mwisho za kumalizia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Dudu....Katika video hiyo shilole ameigiza kama anaolewa (Bi.Harusi)...akizungumza na thisisdiamond.com alisema wimbo huo amemshirikisha Msanii wa Bongo Flavour Q-Chillah na Audio amitengeneza na C9 huku video ya nyimbo hiyo imefanywa na kampuni ya Kwetu Studio.....
kaa tayari soon mzigo utakua kideoni na kwenye Media zoooteeee.....!




Love to hear what you think!