Saturday, June 29, 2013

UCHAFU UNAOFANYWA KATIKA PARTY ZA KIBAO KATA



Hatarieeeeeeeeeeeeee hapo binti anatolewa ..Kibao kata ni sherehe za wanawake tuu ambapo hufanyiwa binti anapotaka kuolewa ....Basi huko ukibahatika kuingia utaona uchafu wote wa mauno....mmhh Kazi kweli kweli ...Uswazi kuna mambozzzz



Love to hear what you think!