Tuesday, April 2, 2013

"Video Queen" Agnes Masogange na Atupia picha za utupu mtandaoni

Baada ya scandal iliyomkuta Video Queen wa nyimbo za Masogange na Maghube Ghube, Agness Masogange ambayo ilikuwa ni kutapakaa kwa picha na video za utupu za mwanadada huyo na wengi kuandika kukilaani kitendo hicho, Agnes amerejea na picha zingine...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii, Agnes ameonekana kutupia picha ambazo zinamuonesha yuko na mtu wake wake wa karibu huku wakionekana kuwa watupu.
See the photos here below:


Love to hear what you think!