Friday, July 17, 2015

Millard Ayo Akiwa Barabarani South Africa kutokea Johannesburg mpaka Durban


.
.
July 16 nilikuwa nikitokea Johannesburg kuelekea Durban ambako ndio utoaji wa tuzo za kituo cha TV  MTV Base Mama2015 zinatarajiwa kufanyika wiki  hii  ambazo zinawaniwa na watanzania wawili ni Diamond Platnumz na Vanessa Mdee.
Hapa nimekuwekea picha kadhaa za barabarani kutoka Johannesburg mpaka Durban
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Love to hear what you think!