Tuesday, August 6, 2013

WANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA MTONI HUKO MBEYA Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa.

 Fimbo hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani Mbeya.


Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko na  mgambo.


-Via KalungulaLove to hear what you think!