Saturday, May 4, 2013

SOMA VICHEKESHO VYA WANAFACEBOOK HAPA


Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa? Watu wakapiga kimya, akauliza tena,
 nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua mtu mmoja na kwenda nae nje na kumwomba amchinjie mbuzi.
 Halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena, "nani mwislamu hapa?"
 waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu, Imam
 akasema, "jamani mi kuswalisha siku mbili tu ndo mniite mwislamu?" mi hapa najifunza tu" halafu
 jamaa akasema "nataka unisaidie kumchuna mbuzi wangu"


Kuna TV moja inakipindi kinaitwa USINIULIZE. KIjana mmoja alikuwa anaangalia kipindi hiki, babake akaaingia na kumuuliza unaangalia nini mwanangu? Akajibu,'Usiniulize". Mkong'oto wa nguvu ukafuata


Padri m1 alipotea mjini akamuuliza kijana m1 ;naomba unifahamishe wapi ilipo posta kijana akamfahamisha mpaka akakujua posta,padri akamjibu asante kwa kunionyesha njia ya na WEWE njoo kanisani nikuonyeshe njia ya peponi .Kijana akaguna akamjibu imekushinda ya posta sembuse ya peponi?


Jamaa mmoja alikuwa ameipenda sturi ambayo alitaka aendekuonesha sampo kwa fundi akamwambia unitengenezee kama hii hii kumbe ile sturi ilikuwa imekatika mguu mmoja, kweli fundi aliitengeneza naye akavunja mguu mmoja, mwenye sturi akaja akashangaa kuona imevunjwa mguu alipo ulizwa akajibiwa kuwa mbona nawewe ulileta sturi ambayo ilikatikamguu? BY JAMES MWALITUKE


Jamaa alimpa lift dada, ikawa kila akibadili gia mkono unagusa paja la yule demu, basi yule dada akawa analalamika na kusema "kasome mathayo 7". . .jamaa akaogopa na kuacha, kufika home tu jamaa akakimbilia biblia kufungua akakuta imeandikwa "Ombeni nanyi mtapewa" By Philip


MWALIMU ALIKUWA ANAFUNDISHA SHULE YA VICHAA NA ALIJIWEKEA UTARATIBU KUWA KILA MWISHO WA MWAKA ATAWAPA JARIBIO LA NANI AMEJARIBU KUPONA UKICHAA SIKU MOJA ALIPOKUWA DARASANI ALICHORA MLANGO UBAONI ALAFU AKAWAAMBIA VICHAA KUWA WATOKE NJE, WALE VICHAA WAKAKIMBILIA WOTE UBAONI ILI WATOKEE MLANGO ALIO UCHORA MWALIMU UBAONI, kulikuwa pia kuna mwanafunzi aliyekaa kwenye kiti mwalimu alimuuliza kwanini wewe hutoki nje kama wenzio? Yule kichaa alisema nashangaa wanang\'ang\'ania kutoka mlangoni wakati funguo ninazo mimi. BY 0758893494 JAMES MWALITUKE

Kuna panya alikua akisumbua watu kwa nyumba moja. wakaamua kumtilia sumu kwa nyama ya nguruwe. siku ya pili panya aliwacha notice: oe sote waislamu hatuli nguruwe. BY:Frida


Jamaa ana kigugumizi akapewa muwa ale akajibu, "si. . .si. . .siwezi. . .kuma. . .kuma. . .liza, ni. . .ni. . .na. . .uboo. . .uboo. . .ubovu. . .wameno. . .labda. . .tuu. . .KATIANE!" BY Beatrice


Kuna vichaa walitolewa hospitali moja kwenda nyingne asa wakiwa njiani wakaambiwa wakachimbe dawa(wajisaidie) alafu safari iendelee waliposhuka kila mtu na njia yake wakakimbia dereva kuona hivyo akamwambia konda tutafanyaje sasa? Konda akajibu niachie mimi nitaliweka sawa hilo wakaondoka wakafika stend wakakuta abiria kibao wakashusha nauli watu wakajazana konda akasema dereva haina kituo hiyo mojakwa moja mpaka hospital,.,.,..... Mud:

Masai mmoja alikwend town sasa akakubaliana na mwanamke kufanya mapenzi walivyo ingia chumbani demu akashuka chini na kuanza kunyonya. masai akasema, "kama hiyo inaliwa basi mwachie na mama Yoyoo". PREEZY:Wakati wa chakula cha mchana mke mwenye kigugumizi kamwambia mume wake nikuongezee mboo...mbooo,.mboga?..mtoto kadakia na kusema.!..mama na mimi niongezee mbooo..,.. Johm or udunga boy: 0718806441

Kulikua na disco la watu wenye vipara...,sasa kulikua na m2 na demu wake,.mume rasta demu kipara..,walipofika ktk disco hilo getini kuna mkaguzi ambae ni kipofu,..sasa demu akawa wa kwanza kuingia na akakaguliwa kama ni kipara,..mshikaji kaona kuliko ninyoe rasta zangu bora ni2mia akili ya ziada,..jamaa kavua suruali na chupi alipofika getini kapiga sarakasi matako yakawa juu .., yule mkaguzi akampapasa matako alafu akamtia dole akanusa akamwambia mshikaji kweli ni kipara ila hujapiga mswaki. Johm or udunga boy


Jamaa mmoja alimkuta demu katoka kisimani,..akaanza kumtongoza...demu katingisha ndoo maji yakamwagikia mchizi...mchizi akakimbia home chap akachukua mwavuli akafwata tena demu alipomwona akajamba,..mchizi kabana pu kaendelea tu kumtongoza mwisho demu kamchomolea mchizi kamwambia nenda lakini nilikua nakuvutia hisia nshamaliza Johm or udunga boy: 0754919446

Ticha: Nyumbani kwenu nani mdogo kuliko wote?

Mwanafunzi akajibu:"Mama"
Ticha:Kivipi?
Mwanafunzi:Mpaka leo anavuliwa c*_h*_u*_p*_i na baba!
Ticha:Uuuuuuuuuwiiii!! Dunia imeisha..


Masai alipeleka redio yake kwa fundi, ilipofunguliwa ili itengenezwe, wakatoka mende weeengi, masai alivyoona hivyo akamwambia fundi ''KAMATA HAO WATANGASAJI WANAISIA..., Teh! Teh! teh! ....(sam mtumishi on FB) Sam Mtumishi:


Ilitokea ajali ktk ajali hiyo kulikuwa na mzungu na mchaga wakapelekwa hospitali mzungu alikuwa ameumia ulimi na ukawa haufai na mchaga aliambiwa hauponi ni lazima ufe ikabidi daktari akate ulimi wa mchaga na aweke kwa mzungu. Kesho yake mzungu akatembelewa na wazungu wenzie si akasalimiwa kizungu wacha mzungu huyo aanze kuongea kichaga

DAN KUNJAN:

Babu mmoja aligongwa na gar wakat anapatiwa firt aid wa2 wakasema amezimia kamleteen maziwa...babu alipockia akajibu na bagia za mia tatu David Aron:


Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. wakamua wampige mlinzi, wamnyang'anye funguo, wafungue mlango, wakimbie. walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi. wakasema, "duh! mpango wetu wa kutoroka ushafeli!" basi wakaghairi!!!!Hi kulikua na baba alikua anaishi na biniti yake,sikumoja binti akaja na boyfriend wake usiku ,baba alipokua kwa chumba chake akasikia yule bfrnd akimwambia binti please sitaingiza yote nita ingiza KICHWA pekeyake,baba aliposikia hivo akamwambia binti yake mwanangu usikubali anakudanganya hainamabega itaingia yote. Rob:


Hamy c yuxuf: ...wraaap...jamaa anatoka kazini kufika nyumbani mkewe akamwambia mume wangu nakuomba uniambie neno ambalo litanifurahisha halafu litaniudhi hapahapa

unajua jamaa kajibu nini....

Kuna jamaa alikuwa anajamiana ,baada ya kumwaga shaawa yule mwamke akamuliza mbona uchomoi mboo,jamaa akajibu kuwa nasubili ninye. Malumbo:


Kulikuwa na msiba wa mtoto wa mbunge ulipofika mda wakuongea kwa niaba ya familia,mbunge akajisahau nakusema wananchi oyee! Malumbo:

Nasikia siku hizi unawakatikia sana, jana umemkatikia boss wangu ofisini halafu leo umenikatikia hata mimi chumbani kwangu,duh umeme wa tanesco umezidi sasa kilasiku kutukatikia duh. Said Mayazi:


Watoto baada ya kumaliza michezo yao,kila mtoto anachukua kilicho chake na kwenda kwao. anabaki mtoto mmoja akilia kwa majonzi, ikabidi aulizwe na majibu yalikuwa hivi (nimeibiwa viatu vyangu), akaambiwa amuachie mungu kwani yatakwisha. akajibu(siwezi kumuachia mungu kwani zilikuwa ndogo hivyo yeye haviwezi kumtosha) nitafute kwenye facebook(said mayazi) Said Mayazi:

Wezi wa Mifugo waliiba ng,ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakamuona na kumpa pole akasema sisikitikii Ng\'ombe Wangu kuibiwa bali huyu Ndama waliemuacha alikuja kuninyonya .......... yangu usiku kucha akidhani ni ziwa la Mama yake hapa nipo hoi kanipigisha mabao 6 mwiliwote unanivuta. Haslein:


Wezi wa mazao mahakamani, jaji. hukumu ya leo kila aliyeiba atatiwanacho ............ alichokiiba mwizi wa kwanza akacheeeeka,jaji.unacheka nn? Unafurahia adhabu ww msenge nn? Mwizi sio iyo na cheka kwa ssbu mm nimeiba ndizi tu sasa sijui kwa huyo mwenzangu aliyeiba fenesi litapita je? Find me in mig33 haslein_90 Haslein_90:

Sharobaro Loliondo mshikaji alienda kwa grand par kuchukua dawa baada ya kupewa kikombe akacmama pembeni kwa mda mrefu bila kunywa dawa. Babu; mbona hunywi? Sharo; nasubir mrija men. Gaucho deus:


Siku moja John alikuwa anacheza na wenzake mara akahisi kiu akaamua kwenda ndani ili anywe maji alipoingia akasikia mama akisema ta ta ta ta! Akamwuliza mama kuna nini mama akasema nacheza karata na baba yako mara akasikia dada yake akisema aaaaaahh! Akamwuliza nini dada akasema nacheza karata na boyfriend wangu John akakimbia chumabani kwake akaanza kusema oooooh! Mama akasema nini John? John akasema na cheza karata mwenyewe. Tiontini bana:

Mwalimu m1 anafndisha watoto level ya chekechea. akamuona mtoto anajipaka mate kichwani akamuuliza kwanini unajipaka mate kichwani ??mtoto akajibu: haviingii.....mwalimu: sasa ndio ujipake mate? mtoto...:namsikiaga mama usiku kama haiingii paka mate itaingia .ndio na mimi nimeamua kupaka mate vitaingia tu. Jimmy jamadar mohame:


Wajua majina hatari ya mawaziri yanayotia fora duniani!! DAVID KINEMBE(MIUNDO MBINU KENYA), JAMES KAKUMA(BIASHARA ZAMBIA), AKAJA AKATOMBA(NISHATI GHANA), NALIA NA MBOO (SHERIA BOTSWANA), ANTONIE CHIPUMBU(FEDHA MSUMBIJI), CHILAMBO KAFILWA (MAZINGIRA MALAWI), ROSE KAMKUNDU(KILIMO ZIMBABWE), JACQULINE NATOMBEKA(UTAMADUNI SOUTH A) KAZUKU FILA FISI(MIPANGO JAPANI), CLAIRE NITOMBENI(NISHATI LESOTHO) jimmy jamadar mohame:

Mwanamke alimkuta mumewe ameuroweka ........ wakekwenye beseni la maji,mwanamke akamuuliza mumewe vipi imekuaje,mume akajibu nauangalia kama una pancha maana hausimami. hahahaaa..!! Akida Rajabu-ushongo:

Jamaa mmoja alikuwa anakojoa kichakani, NYUKI akamng'ata kwenye kichwa cha ......... na Ikavimba kweli kweli! Alipofika kwake, MKEWE akawa anamtoa mwiba huku akisali kimoyo moyo "MUNGU naomba Muondolee mamumivu mume wangu, ila .......... ibaki saizi hii hii! "AMEN!" FIND ME ON FACEBOOK USEAn old masai man was struggling a bit with english in abroad. He enters a restaurant and wants to order chicken but he can't remember what is chicken in english. So he sees one guy at a table next to him with a plate of 4 eggs on it. The old man points to the plate of eggs and says to the waiter, "i want their mother!" i'm hungry

Ng'ombe kaulizwa mbona ukitoka kukamuliwa unanuna? Ng'ombe akajibu:-huyu binadamu cjui msenge? Kila cku ananichezea maziwa lakini hani........bi..


Jamani kama tuwajuavyo ndugu zetu akina Masawe,Shirima, (wachaga) kwa pesa walivyo sa siku1 mangi mmja hoi bin taaban kufikishwa hospital dk. Kashauri afanyiwe upasuaji akapelekwa thieta dk akamdunga sindano ya ganzi akaanza kumpasua wakati anaendele kwa bahati akadondosha mkasi mangi akastuka fasta huku akisema arooo dokta em nitazamie pesa yangu hapo chini! Bila jua kua ni mkasi. Ameer Amarsha:


Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha darasani, wakati anafundisha kwa bahati mbaya akajamba! Basi wanafunzi wote wakaziba pua na kuanza kucheka, ndo mwalimu akaona ni aibu bora aombe likizo ya mwezi mzima ili wanafunzi wawe wamesahau. Mwezi ulipoisha akarudi na kuingia darasani,akawauliza wanafunzi,"Tuliishia wapi?" Wanafunzi:"Tuliishia pale ulipo jamba". Basi mwalimu akapigwa na butwaa na akaamua kuacha kazi jumla. By, podius Gosbert phone: +255787255143 Email: podiusgosbert@yahoo.com

Jamaa mmoja alipenda mtoto wake awe docta akaamua kumnunulia vitabu vya science pamoja nachakula cha kutosha akamfungia ndani...baada ya siku kadhaa akmwambia umeelewa nn mwanangu kwenye hivi vitabu?mtoto akamwambia baba nilichogundua ni kwamba hiv vitabu havijaandikwa kwa mkono,vimeandikwa na mashine..Baba akabaki hoi kws asira. By, Jaffary Hassani

Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?".
Mme,"ah wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama".
By podius Gosbert
phone: +255787255143
Email:podiusgosbert@yahoo.com


Devi: Mpenzi, najua mimi sina pesa, wala magari wala majumba ya kifahari kama rafiki yangu John, lakini mimi nakupenda kwa dhati toka uvunguni mwa moyo wangu
Mupenzi;(akiongea kwa sauti ya mapenzi ya hali ya juu), Kama unanipenda kweli darling, nitambulishe rafiki yako John

Mdada kaenda Salasala kumtembelea Mkaka. Alipofika kwa mkaka akaingia chumbani kwa mkaka na kwa mapenzi akamwambia
Mdada: Mpenzi, naomba shilingi alfu kumi na tano nilipie taxi niliyokuja nayo. Mkaka kaingiza mkono mfukoni kutoa pesa ghafla akashtuka!!!
Mkaka: Unasema umekuja na Taxi? Mbona umevaa helmet ya Bodaboda?
Love to hear what you think!