Sunday, June 23, 2013

MAELFU YAMIMINIKA KUMZIKA MAMA MZAZI WA BARNABA(BI MARIAMU ARUBETH)

''Salamu za pole na rambi rambi ziwafikie wafiwa wote but zaidi
 kwa msanii mwenzangu Barnaba Elias
kwa kupotelewa na mama yake mzazi siku ya Jumamosi ....
Pole sana ndugu sote ni wasafiri na duniani tupo kwenye
safari mbele yake nyuma yetu mwenyezi Mungu aipumzishe
 roho ya mama yetu Mariamu Arubeth mahala pema
peponi.AMINA''Nipo mbali kwa sasa,nipo comoro kweye tour
 lakini familia yangu
itajumuhika nawena familia yenu kwa hali na mali
kwenye kipindi hiki
kigumu unachopitia kumpoteza mpendwa mama yako!!
Maneno hayo ni ujumbe mfupi wa msanii Diamond ametuma
 kutoa ple kwa familia ya Barnaba alieondokewa
na mama yake mzazi siku ya Jumamosi subuhi......
Siku ya leo jumapili ndio ilikuwa siku husika kabisa katika
 kutoa heshima za mwisho kwa Bi Mariamu Arubeth
aliezaliwa 4/12/1967 na kufariki tarehe 22/6/2013....
Kutokana na kutokuwa nchini Tanzania Ningependa kujumuika
na wafiwa na kuwafariji lakini
Mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy na Familia nzima
 kujumuika na wafiwa katika kuwatia moyo na kuwafariji
kwenye kipindi hiki kigumu wanachopitia....!!
Zifuatazo ni picha za Mazishi Ya Mama mzazi wa Barnaba kuanzia
nyumbani hadi makaburini....
Mama yake Msanii Diamond akiwasili maeneo ya kigogo
msiba ulipokuwepo akiwa na
dada yake Diamond Esmah Khan....
Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina
Barnaba Boy Classic kutoa heshima za mwisho..!
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!!

Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana
 mara ya mwisho na mpendwa wako....
Barnaba akiagana na Mama kwa mara ya mwisho.....!!


Madee along side with Lady Naa....walikuwepo pia....!!

Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!!
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T)


Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini
kwaajili ya maziko kumpumzisha
Mama....!!

Bi sandrah akiondoka maeneo ya nyumbani kuelekea
makaburini kuzika baada ya kutoa heshima za mwisho!
Esmah Khan & Hawa video queen kwenye wimbo wa
Ntaerejea aliyoshilikishwa na msanii Diamond walikuwepo
kuwafariji wafiwa...
Qboy msafii along side with kisula wakiwa tayari kuelekea makaburini...!!
Hapa mwili ukiwa umeasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...!

Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!!


Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kuashiria ishara ya
alipotoka ni mavumbini na atarudi
mavumbini.....

Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia
hatua ya kutokuweza kusimama,
ilibidi asaidiwe...!!
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!!
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukia na mchanga.....!
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!!
Producer Lamar Niekamp wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...!
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa
nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa...


Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa
Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!!

Simple the Boyalionekana kuwa mbele kwenye
 ratiba ya makaburini
 kuakikisha mipango inaenda sawa...!!


Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini
kuashiria ishara ya ufufuo...!!
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya
 marehemu Mariamu Arubeth...!!Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara
 baada ya kumaliza shuguli a maziko...!!
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada
ya shuguli ya mazishi kukamilika...!!

Love to hear what you think!