Friday, May 10, 2013

Lady JayDee Afunguliwa Kesi Mahakamani...Unamjua Nani Aliefungua Kesi Hiyo?

Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo. Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli nyingine kama hiyo.
Lakini sasa kuna jingine ambalo limejitokeza, na amelisema mwenyewe Lady JayDee, hii haijathibishwa, huenda ni maneno tu ya kizushi or??.. Na hivi ndivyo alivyoandika kupitia ukurasa wake wa twitter muda mchache uliopita



Love to hear what you think!