Hivi karibuni Lady Gaga ameamua kufuata nyayo za waimbaji wenzie Jennifer Lopez, Justin Bieber, Katy Perry na Britney Spears kwa kuanzisha perfume yake iitwayo Fame.
Akiongea na mtandao wa Access Hollywood,
jana jijini New York, Gaga amesema imewachukua wanasayansi miezi sita
kufikiria teknolojia ya perfume isiyoacha uchafu ipulizwapo kwenye nguo
(non-staining) kama ilivyo Fame.
“I don’t think that women need to smell interesting. I have an interesting mind but I want to smell like a slut
… I mean it in a lovely way like the way your husband makes you feel
when you’ve had a really long day and he knows exactly what to say to
you to make you feel sexy, "aliambia CNN.
“It’s a fragrance for a woman that wants to be taken to bed, certainly.”
Tangazo la manukato hayo linamwonesha Gaga akiwa mtupu huku watu kibao walio kwenye maumbo madogo wakipanda juu yake.
Bei ya manukato hayo inaanzia $19, $79 hadi $100 huku kukiwa na bidhaa zingine kama sabuni, sabuni ya kuogea na body lotion.