Thursday, February 13, 2014

ANASWA AKILA URODA NA MAMA MTU MZIMA MWENYE UMRI ZAIDI YA MAMA YAKE


Jamaa mmoja alinaswa akivunja amri ya sita na mama mtu mzima kabisa yani mwenye umri zaidi ya hata mama yake mzazi maeneo fulani. Hivi jamani hii nitamaa au ni laana , Dunia inaelekea wapi..!!Love to hear what you think!