Thursday, October 10, 2013

Penny Akimbizwa Hospital Baada Ya Kuona Picha Za Wema Na Diamond …

hos


Story zilizopo ni juu ya msanii wa Bongo Fleva, Diamond kuendelea kuwachanganya wasichana wa kibongo … na hii ni mpya kabisa … baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, kuona Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena hapo ndipo ikampelekea DVJ Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitali.

gg
 kuna picha zimetoka kwenye internet pamoja habari kwamba eti Wema na Diamond walikutana  huko Malaysia. Hakuna kati ya mmoja wao alisema chochote kwa kukubali au kukanusha kuhusu hizi picha, lakini hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha na upate jibu lako

wema2

Angalia picha ya juu hair style ya Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani huko Malaysia na picha ya chini ni moja ya picha zilizovuja
DIAMOND-WEMA

Angalia tena picha ya juu hair style ya Wema pamoja na hand bag yake, then angalia picha ya chini hair style ya Wema pamoja na begi lake. Picha ya juu ni moja kati ya zilizovuja na ya chini alipost Wema akiwa bara la Asia lakini ilisemaka yupo Hongkong
wema1
Angalia simu aliyotumia Wema kupiga hizi picha hapo chini na juu, picha ya chini nayo imevuja
ggAngalia picha ya chini na ya juu, chini enzi za zamani.Kipindi hicho walikuwa na hair style hizo lakini hizo za juu zinaonekana kuwa ni muonekano  wa sasa
gggg
Hakuna habari za kuthibitisha kama kweli wawili hawa walikuwa wote huko kama inavyoripotiwa na vyombo vingi, lakini wakati Diamond yupo kwenye show Malaysia na Wema alikuwa ana post picha kwenye Instagram yupo HongKong
 Love to hear what you think!