Saturday, December 15, 2012

WASANII WA BONGO MOVIE WALIPONASWA WAKIFANYA MAPENZI VICHAKANI

Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, walikutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.

Hili  ni tukio  la aina yake lililowahi tikisa  bongo movie kati ya mwaka 2011/ 2012.......

Tangu mwaka jana kumekuwa na mfumuko  wa kasi kwa  wasanii wa  kibongo kupiga picha za utupu na  kuzisambaza mitandaoni huku  wengine wakijiuza  live...!!!
 
 
Awali wasanii hao walishuhudiwa wakiwa karibu kimahaba ambapo walikwenda kukaa chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa mchana tena hadharani.
 Inasikitisha sana kuona binadamwa leo tukifanya mapenzi kama wanyama  wa porini..Huu ni ushamba..!!

Tutaendelea  kulirudia  tukio hili kila  mwaka  ili  tukinusuru  kizazi cha kesho....Love to hear what you think!