Saturday, May 18, 2013

Team ya Anaconda ya Lady Jay Dee yazidi Kuwa Kubwa..Wasanii Wakubwa Wamjoin

Ukiangalia hii Picha kwa Makini utaona wasamii Mbali mbali wakiwa na Lady Jay Dee Wakifanya Sign Ambayo anapenda kuitumia Lady Jay dee ya Anaconda...Ambayo ndio Movemeny yake ya Kupinga Unyanyasaji wa Kimuziki ....Hii inanikumbusha Harakati za kundi la Anti Virus Ambao Muda sasa sijasikia Harakati zao lakini nikiangalia tena hii picha namuona John Mkoloni na Mapacha..Najiuliza Anti Virus Wamemjoin Lady Jay Dee Ama ?


Love to hear what you think!