Wednesday, April 17, 2013

"WANAOSEMA NIMEZEEKA IMEKULA KWAO....LEO NDO KWANZA NIMEFIKISHA MIAKA 18"...LULU MICHAEL

Leo  Elizabeth Michael  ametimiza  miaka  18.....Anadai  kuwa  wanaodai  kuwa  amezeeka  imekula  kwao  maana  ndo  kwanza  anauanza  utu  uzimaLove to hear what you think!