Wednesday, April 17, 2013

Norway yaisaidia Tanzania Sh. bilioni 200 kwa ajili ya umeme vijijini

 


Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (kushoto), akiwa na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway, Bw. Heikki Holmas, muda mfupi kabla ya kusaini Mkataba wa Krona 700 (sawa na sh. bilioni 200 za Tanzania) uliotolewa na Serikali ya Norway kwa Watanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi ya umeme vijijini...read more
Source: IssaMichuzi


Love to hear what you think!