Wednesday, April 17, 2013

Drama: Wema Sepetu Alibembeleza Penzi la Diamond kwa Simu, Maongezi Yarekodiwa, Penny Ampa Madongo

Diamond na Wema Sepetu will always make headlines. Wakati issue ya Irene Uwoya haijaisha, leo limeibuka jingine. Ni baada ya Wema Sepetu jana usiku kumpigia simu Diamond ambaye wakati huo alikuwa amepumzika na mwandani wake wa sasa, Penniel Mungilwa na wapenzi hao kumrekodi. Maongezi hayo yamerushwa kwenye You Heard ya Clouds FM.Insider mmoja ameiambia Bongo5 kuwa Wema alimpigia simu Diamond akimwambia kuwa anataka usiku huo aende kwake lakini Diamond akamwambia hayupo kwake na yupo nyumbani kwa Penny. Insider huyo amesema Wema alimwambia Diamond kama vipi yeye (Diamond) ndio aende nyumbani kwa Wema usiku huo. Hata Diamond alikataa kwa kusisitiza kuwa anampenda Penny na hawezi kuwa tena na Wema.

Hivi ndivyo maongezi hayo yaliyoifikia You Heard, yalivyokuwa:

Diamond; Mimi sikufanyii drama yoyote, I’m in love with Penny na wewe unaijua hivyo
Wema: Yeah you are in love with Penny and I…

Diamond: Sipendizewi kwasababu mwishi wa siku itakuja kuleta matatizo, drama, SITAKI

Penny anaichukua simu: anasema Hallo, we want to sleep now mammy, wacha si tulale
Wema: Uko poa?

Penny: Niko poa mammy, can u let us sleep now? Si hatutaki matatizo, na wewe usitake matatizo na sisi let’s just live one happy life.

Wema: You know me I don’t want trouble.

Penny: Yeah but you always wanna cause trouble Wema, you always , when did you ever want something peaceful? When? I mean when he (Diamond) says he is in love with me I don’t know, for some reasons I expect you to respect that because all you have done is bringing us trouble, seriously and all these things you do they tell us kwamba wewe ndio unafanya.

Maongezi ya mwisho hayasikiki vizuri sana lakini inaonesha Wema alikata simu.

Mwandaaji wa You Heard, Soudy Brown alimpigia simu kumwambia kuhusu kipande hicho cha maongezi kilichorekodiwa na hivi ndivyo alivyosema:

Wema: Nimeambiwa lakini sikujua itakuwa this big, kama wananichokoa hapa apate kick wanaona kwamba hawana kick then that’s something else unajua eeh,.kick wazitafute sehemu nyingine sio kwa Wema Sepetu. Sawa mimi najijua, me I am a star, I am star like all over Tanzania hakuna star kama mimi kwahiyo kama wanaona wanaweza kupata kick kutokana na mimi star because they are looking for name they are fucked up. Sitaki kuanza kuchokonolewa chokonolewa kuanza kuetengenza sijui vitu gani nimekaa tu kimya, mimi nimesikia sijui BBM sijui nini i’m just quite okay sijafanya chochote

Soudy: Bado unampenda Diamond?

Wema: Hapana siwezi kumpenda wewe!

Soudy: Kumtamani?

Wema: Siwezi

Soudy: Kwanini?

Wema: Sasa wa kazi gani kwasababu mimi nimeshakuwa na Diamond it’s done, haikuwa riziki kila mtu ameenda na mambo yake, kaendelea na maisha yangu na mimi nimeendelea na maisha yangu, I am very very happy where I am.

Sikiliza hapa:
------------ Credits:Bongo5


Love to hear what you think!