
Koffi
Olomide akimtambulisha Rachel wa THT kwamba ni mmoja ya wasanii wa
Tanzania waliemvutia kwenye show iliyofanyika CCM Kirumba Mwanza.
Wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Masoko SBL Ephraim Mafuru, Anitha Msangi
Maurice Njowoka na Patrick Kisaka wakiwa CCM-Kirumba. (Picha zote
zimepigwa na G SENGO wa gsengo.blogspot.com blog inayonifurahisha kwa
kuwa fasta kwenye matukio yote yanayotokea Mwanza)











