Sunday, July 15, 2012

HII NI KWA WALE MNAOPENDA KUOLEWA NA WAZUNGU



               Huyu ni mume wa Kiingereza ambae anaona baiskeli yake ni muhimu zaidi ya mke wake.
                     Huyu ni mume wa Kimarekani yeye anaonesha wazi ubinafsi wake na kupenda kwake starehe.

                               Huyu ni mume wa kule nchini Poland hana muda kabisa na mkewe.

Mume wa Kigiriki anataka kufanana kiubabe na Babu yangu kule Mbwinde. 
MUME wa ireland








Love to hear what you think!