Thursday, May 16, 2013

Prezzo: ‘Chochote ninachokigusa hugeuka kuwa dhahabu’

Tangu Diva atangaze hadharani uhusiano wake na Rapcellency, Prezzo, kwa mujibu wake amekuwa akipokea tsunami za simu kutoka kwa waandishi kutoka nchini mbalimbali barani Afrika kufanya naye interview.

Waliokuwa hawamfahamu Diva sasa wanamfahamu ‘like that girl next their doors’ kupitia Prezzo.

Prezzo anafahamu thamani yake na anasema kila kitu anachokigusa hugeuka dhahabu. Akijibu tweet ya mtu aitwaye Alvin Wandat, isemayo, “So apparently,dating @AMB_Prezzo gets you booked for interviews all over africa,dude,you must be loving the moment,” Prezzo ametweet, “ Anything I touch turns to Gold apart frm butterfly’s :-D 4got wht they are called in Swahili.”

source:bongo5


Love to hear what you think!