Friday, June 8, 2012

Unyama: KICHANGA CHATUPWA KWENYE DAMPO LA TAKATAKA MTAA WA SOWETO JIRANI NA SOKO LA CCM.. Samahani kwa Picha mtakayo iona. 
Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo hilo la Takataka Soweto Mbeya



 





Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo ktazama kichanga hicho ambapo Mama  Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.
Picha na Allt Kingo Mbeya Yetu
 
 



Love to hear what you think!