Saturday, June 22, 2013

UPDATE: MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO CHUONI HAPO AFARIKI DUNIA


HABARI zilizotufikia hivi Punde zinasema kwamba mwanafunzi ALEX ROBERT wa chuo kikuu DAR ES SALAAM (UDSM) amefariki dunia mchana huu katika HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ambapo alikuwa amelazwa kutokanana kujeruhiwa na risasi ambyo alipigwa na majambazi waliomvamia akiwemo yeye pamoja na wenzake watatu.

Love to hear what you think!