.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
AJALI MBAYA IMETOKEA MBALIZI MBEYA AMBAPO MAGARI MAWILI YALIGONGANA NA KUWAKA MOTO, WATU 10 WANARIPOTIWA KUFARIKI DUNIA, MBUNGE WA VITI MAALUM MH.MARY MWANJELWA ALIKUWEMO KATIKA AJALI HIYO, KATIBU WAKE AMETEKETEA KWA MOTO.
Picha zote zimetoka mbeyayetu.blogspot.com