Friday, September 5, 2014

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA

Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara.
...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…
Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara.
...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.
Baadhi ya wakazi wa Mara pamoja na wauguzi wakiangalia maiti wa ajali hiyo
Baadhi ya wakazi wa Mara wakiwa wamekusanyika katika hospitali hiyo.
WATU zaidi ya 36 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyoyahusisha magari matatu, mawili mabasi ya abiria na moja gari dogo aina ya Nissan Terano leo asubuhi eneo la SabaSaba, mjini Musoma.
Ajali hiyo imetokea baada ya basi la Kampuni ya J4 Express lenye namba za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari mkoani Mara kuligonga ubavuni gari dogo aina ya Nissan Terano lenye namba za usajili T 332 AKK na kulitupa mtoni kisha kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni ya Mwanza Coach lenye namba za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba, mjini Musoma.
(Picha: na Global Wh



Love to hear what you think!