Ni kama movie vile, pamoja na kuvua nguo hadharani kijana huyu alisikika akiongea mambo yasiyoeleweka na mengi kwa wakati mmoja.
Bado haijajulikana nini chanzo, japo chanzo cha habari kimesema kuna uwezekano ni kuchanganyikiwa kimaisha baada ya kutapeliwa kwa njia ya internet, utapeli ambao unafanyika sana wakati huu.