Saturday, January 3, 2015

AENDA JELA MWAKA MMOJA KWA KOSA LA KUMKASHIFU RAIS MTANDAOINI

Mobile-Phone

Kumekuwa na kawaida ya watu wengi kuwa na matumizi mabaya ya mitandao, wengine hutumia lugha za matusi na kuweka picha chafu.
Kijana mmoja mwanafunzi wa chuo, Alan Wadi Okengo amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa na hatia ya kutumia vibaya mtandao wa kijamii wa facebook, aliandika ujumbe wa kukosoa jitihada za Serikali ya Kenya kuhusu masuala ya usalama.
Ujumbe wa mwanafunzi wa huyo aliuandika hivi; “For the security to be tight Kikuyus from other regions need to be deported to central region! For Kenyans to enjoy their freedom, Kikuyus must be deported to their central region”
“The way that silly Bill proposed by silly “president” was passed by silly Jubilee skunks and assented by the same silly “president” was wanting!”
“The speed and temerity of the process shows the bang “president” is desperate to dictate and throw away our democratic space! If Judiciary won’t help, the streets will salvage Kenya! If Opposition won’t lead us to the streets, then they might be too “orgasming” with “despotic” leadership!”
Mwanafunzi huyo alikiri kufanya kosa hilo na kutakiwa kulipa faini ya sh 200,000 na kwenda jela mwaka mmoja kwa makosa ya matumizi ya lugha chafu mtandaoni na kumtukana Rais pamoja na Bunge.Love to hear what you think!