Tuesday, June 17, 2014

SHAMBULIO LINGINE LAUA 10 MPEKETONI

Baadhi ya wananchi wakishuhudia miili ya wenzao waliowauwa katika shambulio la usiku wa kuamkia jana Mpeketoni.
Pikipiki, magari na hoteli baada ya kuchomwa moto na kundi la Al Shabaab usiku wa kuamki jana kabla ya shambulio la leo.…
Baadhi ya wananchi wakishuhudia miili ya wenzao waliowauwa katika shambulio la usiku wa kuamkia jana Mpeketoni.
Pikipiki, magari na hoteli baada ya kuchomwa moto na kundi la Al Shabaab usiku wa kuamki jana kabla ya shambulio la leo.
Askari akiangalia uharibufu uliofanywa na Al Shabaab.
Mpeketoni ipo maili 60 kutoka mpakani mwa Kenya na Somalia.
WATU 10 wameuawa katika shambulio lingine eneo la Mpeketoni karibu na Lamu nchini Kenya usiku wa kuamkia leo.
Shambulio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya kundi la Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyouwa watu 50 katika eneo hilo usiku wa kuamkia jana Jumatatu Juni 16, 2014.Love to hear what you think!