Lady Jay Dee
East African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika radio hiyo. Jay dee ameandika kuwa radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu ila wasanii wao tu. Angalia tweet za Queen of Bongofleva huyo.
"Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira"
"Anaedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn !!"
Jay Dee pia anaonekana kujizatiti na kujiamini kuonyesha kuwa yupo kwa lolote yeye kama Komandoo Binti Machozi aliandika tena "Kill me if u can. Am on Fire, siogopi ng'oooooo Jipangeni, Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhulu. Nakunywa maziwa daily, I will survive".
"Hee! Kuna wajinga wanadhani nili tweet nikiwa nimelewa, nilimaanisha na msimamo ni huo. Sitasema oooh kuna mtu ka hack ac yangu nooo its me"
" Kuna DJ flani alikuwa akipiga nyimbo nilizoshirikishwa akifika sehemu nilioimba mimi anakata verse yangu nimtaje?? Sa hivi anakat ya Prof J"
Hata hivyo si Jay Dee pekee kuanza kulaumu kwani wapo wanamuziki wengine wanaolaumu nyimbo zao kutokupigwa
Sunday, March 31, 2013
Lady jaydee: Clouds fm ni wanafiki,wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii
Thursday, March 28, 2013
“Dogo Janja afeli kidato cha pili apata wastani wa 27
Baada ya taarifa kuenea kuhusu
uwepo wa msanii Dogo Janja nchini Afrika Kusini kwa show alizopata
zilizofanyika ndani ya wiki tatu, Uongozi wa shule anayosoma ya Makongo
Sekondari, umetoa taarifa kuhusu mwenendo wake pamoja na matokeo
aliyopata ya kidato cha pili. Michael Alfred Mbaula ambae ni
Afisa taaluma amesema “mahudhurio ya Dogo Janja darasani yalikua mazuri
na alikua anashirikiana vizuri na wenzake kipindi kilichopita ila mara
yake ya mwisho kuingia darasani ni novemba 2012, na kwa sasa atalazimika
kurudia kidato cha pili kwa sababu amefeli kwa wastani mdogo ambao
usingemruhusu kuendelea na kidato cha tatu”
Kuhusu kauli ya Dogo Janja
kwamba juzi alipokwenda Afrika Kusini alikua ameomba ruhusa ya wiki
mbili shuleni, Mbaula amesema “sio kweli kwamba aliomba ruhusa na wala
ofisi haina taarifa japo shule haina tatizo akitoa taarifa hata katikati
ya masomo iwapo anatakiwa kufanya shughuli za mziki kwa sababu Makongo
ni shule ya vipaji, kuomba ruhusa ya wiki moja au mbili ambazo alikua
akiziomba mwaka uliopita ndani ya mwezi mmoja ni sahihi ila kukaa miezi
mitatu bila kuja shule ndio tatizo”
Katika sentensi nyingine,
Mbaula anasema “Dogo Janja amefeli kidato cha pili kwa kupata wastani wa
27 ambapo alifanya vibaya sana kwenye hesabu kwa kupata sifuri, Civics
alipata 27, historia 33, Jiografia 22, Kiswahili 46, Kiiingereza 42,
Phisics 20, Chemistry 30, Biology 27, Commerce 8, Bookkeeping 11 hivyo ni lazima arudie darasa kitu ambacho anaweza kukifanya hapahapa Makongo”
source . millardayo.com
BINTI WA MIAKA 16 ALAZIMISHWA KUNYWA MKOJO NA MAMA YAKE MDOGO HUKO IRINGA
Vituko
mjini Iringa haviwezi kuisha kama jamii haitakubali kwa moyo mmoja
kupambana na ukatili wa kijinsia. Huyu ni Binti ZAWAD KARIM miaka 16
mkazi wa mshindo nyuma ya banki ya NBC manispaa ya Iringa amepigwa na
hatimaye kunyweshwa mkojo na mama yake mdogo aitwaye Ever ubamba.
Tukio lilikuwa hivi:
Zawadi kimsingi anaishi na mama yake mzazi ambaye kwa kipindi
hicho dada mtu huyo alikuwa anaumwa. Ever alikuwa nje na marafiki zake
ndipo mama yake mdogo huyo akamwiita ndani ya nyumba yao hiyo wanayoishi
mtaa wa mshindo.
Baada ya kumwita na kisha mtoto huyo kushindwa kusikia baadaye
aliitika na kuingia ndani na ndipo alipo ambiwa avue nguo zote na huyo mama yake mdogo Ever .Baada ya muda mfupi Zawadi
alianza kupokea kipigo kikali kutoka kwa mama yake mdogo.
Katika kipigo hicho Zawadi alipigwa pamoja na
kunyweshwa mkojo kutoka kwa mama yake mdogo huyo.Zawadi ambaye ni mtoto
wa kuzaliwa na Dada yake Ever inadaiwa kipigo hicho kimesababishwa na
tuhuma kwamba eti familia hiyo haina mtoto kama yeye zawadi.
Zawadi inadaiwa aliwahi kwenda zanzibar kwa nia ya kufanya kazi na
baada ya muda mama yake mzazi ambaye jina lake bado halijafahamika
alimpigia simu arudi nyumbani na mara baada ya kurudi ndipo
kutokuelewana huko kukajitokeza.
Aidha taarifa za ndani kuhusu tukio hilo zinasema kuwa Mama yake
Msichana Zawadi alitupwa akiwa mchanga na kuokotwa na wasamalia wema na
hatimaye kulelewa na Bibi yake ambaye hata hivyo amefariki duni.
Kisa cha yote hayo ni madai ya mtoto zawadi kuomba aoneshwe Baba yake
mzazi ili walau aweze kupata pumziko la adha anazo zipata kutoka kwa
ushirika wa ndugu zake hao.Zawadi pamoja na majirani wameuambia mtandao
huu kuwa vitu vilivyo tumika kumwadhibu vilikuwa ni pamoja na nyaya za
simu,mkandaa,na vipande vya chupa katika kumchoma navyo.
Chris Brown's Confession on how he got Rihanna back
It’s all about my responsibility,' he told Ryan Seacrest in an interview with KIIS-FM radio on Tuesday.
The singer says that he tried his best to reform himself over the years until the couple recently reconciled and that he was never sure that Rihanna would even speak to him again.
He added that he was 'eternally grateful' that in the end she found it within herself to forgive him, leading to their reconciliation.
'I just tried my best to be the best man I could be over the years and just show her how remorseful and sorry I was for the incident and that time was probably the worst part of my life and being that she has and she’s a wonderful person I’m eternally grateful and thankful,' he said
'People are entitled to their opinions. I can’t go around blaming. It’s all about my responsibility and me growing up as a man
'It’s still like we’re kids. I try not to be too grown and be like, "Lets have candlelight dinner every night." I try to make sure everything is fun. It has to be fun and it has to be genuine,
The singer says that he tried his best to reform himself over the years until the couple recently reconciled and that he was never sure that Rihanna would even speak to him again.
He added that he was 'eternally grateful' that in the end she found it within herself to forgive him, leading to their reconciliation.
'I just tried my best to be the best man I could be over the years and just show her how remorseful and sorry I was for the incident and that time was probably the worst part of my life and being that she has and she’s a wonderful person I’m eternally grateful and thankful,' he said
'People are entitled to their opinions. I can’t go around blaming. It’s all about my responsibility and me growing up as a man
'It’s still like we’re kids. I try not to be too grown and be like, "Lets have candlelight dinner every night." I try to make sure everything is fun. It has to be fun and it has to be genuine,
MENEJA WA KAMPUNI YA NDEGE YA FASTJET ATIWA MBARONI
MENEJA wa Wafanyakazi wa Ndani ya Ndege wa Kampuni ya Fastjet Emma
Donovan, alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam
kujibu shtaka linalomkabili la kutoa lugha ya matusi.
Emma (40) alipandishwa kizimbani jana na kusomewa shtaka hilo na Wakili wa Serikali Nassoro Katuga, mbele ya Hakimu Joyce Minde.
Katuga alidai Machi 19 mwaka huu Emma alimtolea lugha ya matusi Samson Itinde jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
Emma alikana shtaka hilo ambapo Katuga alidai upelelezi umekamilika na kuomba kupangiwa tarehe kwa usikilizwaji wa awali.
Katuga alidai Machi 19 mwaka huu Emma alimtolea lugha ya matusi Samson Itinde jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
Emma alikana shtaka hilo ambapo Katuga alidai upelelezi umekamilika na kuomba kupangiwa tarehe kwa usikilizwaji wa awali.
Hakimu Joyce alisema kuwa dhamana ya mshtakiwa iko wazi lakini kwa
kuzingatia vigezo vya dhamana vitakavyotolewa kwa kuwa mshtakiwa ni raia
wa kigeni.
Alitaja masharti ya dhamana kuwa mshtakiwa anatakiwa kuwasilisha hati yake ya
kusafiria au kutoa fedha taslim sh milioni tano na pia awe na wadhamini
wawili ambao ni Watanzania.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Aprili 9 ili kupangwa tarehe ya kuanza kwa usikilizwaji wa awali.
Wednesday, March 27, 2013
BINTI ABAKWA MPAKA KUFA...ALIKUWA ANATOKA NACHINGWEA RESORT
Bint
aliyejulikana Mariam amekutwa na mauti baada ya kubakwa mpaka kufa....
Vijana
hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho
mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.
Marehemu alikuwa na mkasa huo wakati akitoka
Nachingwea Resort(NR) katika muziki siku ya ijumaa.Inasadikika marehemu
amelewa na wabakaji alitoka nao muziki.
Tuesday, March 26, 2013
"SIKUONA SABABU YA KUFIKIRIA MARA MBILI KUMSAIDIA KAJALA MILIONI 13 ILI ASIENDE GEREZANI...WEMA SEPETU AFUNGUKA
Mrembo
Wema Sepetu leo amemake headline baada ya kutoa mfukoni mwake shilingi
milioni 13 kulipa faini aliyopigwa muigizaji mwenzie Kajala Masanja
aliyehukumiwa leo kwenda jela miaka mitano ama kulipa kiasi hicho cha
fedha.
Kajala na Wema wakikumbatiana
Akiongea kwa kujiamini, Wema amesema hakufikiria mara mbili kutoa kiasi hicho cha fedha.
“Kusema kweli wanasemaga kwamba kutoa ni moyo so naamini what I did is best, nimetoa kwasababu I had to do it and sikuthink twice kuhusu kufanya hivyo,” amesema Wema.
Wema akwa na Kajala
“Nimefanya kama namsaidia rafiki yangu kama namsaidia ndugu yangu na
sidhani kama ingekuwa ni kitu kizuri kumuona mwenzako anaingia kwenye
dhahama, kwenye tabu, kwenye mateso na wakati nina uwezo wa kumsaidia
kwahiyo I just did what I had to do.”
Kuachiwa kwa Kajala kumepokelewa kwa furaha kubwa na mastaa mbalimbali nchini.
Cpwaa
So I hear Kajala is out! Good news..Hongereni sana wana BOngoMovies! Bongoflava tujipangeni..tutaendelea kupigwa bao kila siku while we are sitting on a Multi-Billion Industry, it’s time to stop fantasizing posing in front of camera poppin bottles of Champagne,Rented Fancy cars,Cheap Wardrobe n ( No..The Ladies are fine,I love them too sitaki ubaguzi)… Tufikirie kibiashara zaidi na sio sifa tu.
Rio Pol
It’s a blessed Monday I say this because finally someone stood up and did something right and righteous. I’ve worked in the entertainment industry for the past seven years and no star or their glam team or entourage would do what Miss Wema Abraham Sepetu did. Thank you god both my girls Elizabeth Michael and Kajala Masanja are free. God bless you wema.
Kajala akikumbatiana na Zamaradi
Mboni Masimba
KAJALA outtttttttttt# Mungu mkubwa # WEMA mwokozi wa KAJALA # Mwenyez Mungu akuzdishie na akupe ulipo pungukiwa. Una moyo wa pekee. Lov u always my Dogo
Ben Pol
Nimemvulia kofia Wema, ameni-inspire …moyo kama huo anao mtu mmoja Kati ya Milioni moja, watu hujifanya wakisikitika humu twitter tu…
Elizabeth Michael aka Lulu
Welcome back kay wangu…….Kajala wangu….mamy wangu
Kajala na Wema wakikumbatiana“Kusema kweli wanasemaga kwamba kutoa ni moyo so naamini what I did is best, nimetoa kwasababu I had to do it and sikuthink twice kuhusu kufanya hivyo,” amesema Wema.
Wema akwa na KajalaKuachiwa kwa Kajala kumepokelewa kwa furaha kubwa na mastaa mbalimbali nchini.
Cpwaa
So I hear Kajala is out! Good news..Hongereni sana wana BOngoMovies! Bongoflava tujipangeni..tutaendelea kupigwa bao kila siku while we are sitting on a Multi-Billion Industry, it’s time to stop fantasizing posing in front of camera poppin bottles of Champagne,Rented Fancy cars,Cheap Wardrobe n ( No..The Ladies are fine,I love them too sitaki ubaguzi)… Tufikirie kibiashara zaidi na sio sifa tu.
Rio Pol
It’s a blessed Monday I say this because finally someone stood up and did something right and righteous. I’ve worked in the entertainment industry for the past seven years and no star or their glam team or entourage would do what Miss Wema Abraham Sepetu did. Thank you god both my girls Elizabeth Michael and Kajala Masanja are free. God bless you wema.
Kajala akikumbatiana na ZamaradiKAJALA outtttttttttt# Mungu mkubwa # WEMA mwokozi wa KAJALA # Mwenyez Mungu akuzdishie na akupe ulipo pungukiwa. Una moyo wa pekee. Lov u always my Dogo
Ben Pol
Nimemvulia kofia Wema, ameni-inspire …moyo kama huo anao mtu mmoja Kati ya Milioni moja, watu hujifanya wakisikitika humu twitter tu…
Elizabeth Michael aka Lulu
Welcome back kay wangu…….Kajala wangu….mamy wangu
MWANAFUNZI UDSM AJINYONGA HADI KUFA
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka wa pili Kitivo cha Sheria, Joseph Bernadina (25), amejinyonga kwa kutumia kamba na kukutwa ameifunga juu ya mti, katika eneo la Yombo chuoni hapo.
Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Utawala, Profesa Yunus Mgaya, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba alipata taarifa hizo jana asubuhi.
Aliongeza kuwa Jumamosi iliyopita alipokea simu kutoka kituo cha polisi cha chuo hicho akielezwa kuwa kuna mwanafunzi alitishia kujiua, lakini aliwahishwa hospitali na kupatiwa ushauri kutoka kitengo maalum cha washauri wa chuoni hapo na kuruhusiwa Jumapili.
“Nilikuja tena kushituka leo asubuhi napokea simu kutoka kwa mshauri wa wanafunzi kuwa kuna wanausalama wamemkuta mwanafunzi akiwa amejinyonga juu ya mti huku akiwa na karatasi kwenye mfuko wa sharti ikimtambulisha pamoja na ujumbe uliosema, kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote kwani amejiua kwa ridhaa yake --asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu--” alisema.
Profesa Mgaya alisema taratibu za mazishi zinaendelea kufanywa na Uongozi wa chuo kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu na kwamba Chuo kitagharamia kuusafirisha mwili kama alivyoomba katika ujumbe aliouacha wa kupelekwa wilayani Ludewa Mkoa wa Iringa.
Naye rafiki wa marehemu, Daniel Mwamlima, alisema marehemu hakuwahi kuzungumza chochote kilichoashiria kuwa ana matatizo wala mgogoro na mtu yeyote. Alisema walimuacha hospitalini Jumamosi na kesho yake kumchukua, lakini baadaye aliwatoroka.
“Sasa leo (jana) asubuhi tulipata taarifa za mwanafunzi kujinyonga mbaya zaidi tukakuta ni yeye,” alisema Mwamlima.
Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi wa chuo hicho (DARUSO), Yasini Athumani, alisema wamezipokea taarifa hizo kwa masikitiko makubwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, alithibitisha kutokea kwa tukio na alisema uchunguzi wa awali umebaini kwamba marehemu aliwahi kuwa na historia ya kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kupata matibabu ya ugonjwa wa msongo wa mawazo
ALIYEMGONGA TRAFIKI ENEO LA BAMAGA AFIKISHWA MAHAKAMANI

Akiteta jambo na Issa Mnally ndani ya mahakama kabla ya hakimu kuwasili.



Waandishi wa habari wakimpiga picha (Simbo) wakati akiingia mahakamani...
Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake.
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni.
Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu
Thursday, March 21, 2013
UKATILI 100%
Na Patrick Mabula, Kahama
HUU ni ukatili kwa 100%! Martha Charles (22), mkazi wa Nyahanga wilayani hapa ambaye ni mtumishi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama ameuawa kinyama kwa kuchinjwa shingoni na mume wake,
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Afande Onesmo Lyanga alisema tukio hilo lilitokea katikati ya wiki iliyopita ambapo pia alimtaja mume anayedaiwa kutekeleza unyama huo kuwa ni Isack Nzwalile (29), mfanyabiashara wa bucha la nyama ya ng’ombe.
Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika familia ya marehemu zilisema chanzo cha mauaji hayo ni ugomvi wa kifamilia ambapo mtuhumiwa alianza kwa kumlaumu mama yake mzazi kwa kitendo cha kumtafutia kazi mkewe katika Halmashauri ya Mji wa Kahama wakati yeye alikuwa hataki mkewe afanye kazi.
Akasema majirani hao sanjari na yeye walimkuta mtuhumiwa ameshamchinja mkewe kwa kisu na kutoweka kusikojulikana.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Noel Mkisi alisema baada ya muuaji huyo kutoroka usiku huohuo jitihada za kumsaka zilianza.
Tukio la kuchinjwa kinyama kwa mwanamke huyo limetokea siku chache baada ya hivi karibuni, mchuna ng’ombe Musa Petro (27) naye kumuua kwa kumchinja kwa kisu mpenzi wake, Jessica Elialinga (19).
Wakati tunakwenda mitamboni habari zilizopatikana kutoka Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kahama na kudhibitishwa na OCD George Simba zilisema mtuhumiwa huyo amekamatwa.
HUU ni ukatili kwa 100%! Martha Charles (22), mkazi wa Nyahanga wilayani hapa ambaye ni mtumishi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama ameuawa kinyama kwa kuchinjwa shingoni na mume wake,
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Afande Onesmo Lyanga alisema tukio hilo lilitokea katikati ya wiki iliyopita ambapo pia alimtaja mume anayedaiwa kutekeleza unyama huo kuwa ni Isack Nzwalile (29), mfanyabiashara wa bucha la nyama ya ng’ombe.
Isack Nzwalile aliyemchinja mkewe, Martha Charles.
Afande Lyanga alisema mtuhumiwa alimchinja mkewe wakiwa wamelala
chumbani kwenye nyumba ya wazazi wa mwanaume huyo na baada ya kufanya
ukatili huo alikimbia.Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika familia ya marehemu zilisema chanzo cha mauaji hayo ni ugomvi wa kifamilia ambapo mtuhumiwa alianza kwa kumlaumu mama yake mzazi kwa kitendo cha kumtafutia kazi mkewe katika Halmashauri ya Mji wa Kahama wakati yeye alikuwa hataki mkewe afanye kazi.
Musa Petro aliyemchinja mpenzi wake Jessica Elialinga.
Habari zilizopatikana eneo la tukio kutoka kwa mmoja wa ndugu
anayeishi na familia hiyo, Paul Edward alisema mbali na kuchinjwa
shingoni pia marehemu alikatwakatwa sehemu mbalimbali za mwili wake.
Marehemu Martha Charles (kulia) enzi za uhai wake akiwa na rafiki yake.
Edward alisema usiku wa tukio akiwa amelala katika moja ya chumba
ndani ya nyumba hiyo, alisikia kelele za ugomvi kutoka kwenye chumba cha
wanandoa hao hali iliyomfanya apige kelele zilizowafikia majirani ambao
walifika kutoa msaada.Akasema majirani hao sanjari na yeye walimkuta mtuhumiwa ameshamchinja mkewe kwa kisu na kutoweka kusikojulikana.
Marehemu Martha Charles akiwa na mumewe, Isack Nzwalile wakifurahia maisha enzi za uhai wake.
Nao majirani waliokwenda kutoa msaada ambao hawakupenda majina yao
yatajwe gazetini, walisema walikuta mwili wa Martha ukiwa kitandani huku
amekatwa na kitu chenye ncha kali katika eneo lote la shingo, ndipo
walipomchukua na kumkimbiza hospitali lakini tayari alikuwa ameshakata
roho.Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Noel Mkisi alisema baada ya muuaji huyo kutoroka usiku huohuo jitihada za kumsaka zilianza.
Tukio la kuchinjwa kinyama kwa mwanamke huyo limetokea siku chache baada ya hivi karibuni, mchuna ng’ombe Musa Petro (27) naye kumuua kwa kumchinja kwa kisu mpenzi wake, Jessica Elialinga (19).
Jessica Elialinga enzi za uhai wake.
Naye Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Maduka ya Nyama Kahama, Faraji
Mohamed akiongea na gazeti hili alisema Petro ni mfanyakazi wa Nzwalile
katika duka lake la nyama (bucha) ambapo alishangaa kusikia Nzwalile
amemchinja mke wake kama alivyofanya mfanyakazi wake, Petro.Wakati tunakwenda mitamboni habari zilizopatikana kutoka Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kahama na kudhibitishwa na OCD George Simba zilisema mtuhumiwa huyo amekamatwa.
BINTI ABAKWA KIKATILI NA VIJANA WAWILI....
Dpost imepokea video moja ya kusikitisha sana ikimuonesha msichana mmoja akibakwa na wavulana watatu.....
Katika
video hiyo, binti anaoneka kulia kwa huzuni akiomba msaada.Bahati
mbaya, shetani hao wawili hawakuwa na tone la huruma kwa binti
huyo.....

Watu hao ni wakenya na wanaongea kiyoruba.
Ifuatayo ni sehemu fupi ya video hiyo:
Video inafunguka kikatili ikimuonesha ikimuonesha binti akiwa amekabwa na anapumua kwa shida...
Binti: Nisaiidiee..( huku nalia)
Mbakaji: Jitahidi usioneshe sura yangu..( alikuwa anamweleza mwenzie aliyekuwa anarekodi)
Anayerekodi: Usijali, siichukui sura yako
Binti: Nimewakosea nini...nakufaaa...!!!
Mbakaji aliendelea kusisitiza kuwa sura yake ifichwe na binti aliendelea kuomba msaada bila mafanikio....
Tuesday, March 19, 2013
NANCY SUMARI AZINDUA KITABU CHA WATOTO NYOTA YAKO
Miss
World Africa 2005, Nancy Sumari leo amezindua kitabu chake cha watoto
kiitwacho Nyota Yako. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam na
kuhudhuriwa na watu mbalimbali maarufu wakiwemo mamiss Tanzania wa
zamani, Jacqueline Ntuyabaliwe na Faraja Nyalandu.
Nancy Sumari akizungumza kwenye uzinduzi huo
Wengine ni pamoja DAKTARI Bingwa wa magonjwa ya watoto na Makamu Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Profesa Esther
Mwaikambo, Jokate Mwegelo, Shaa, Ally Remtullah. Fina Mango na wanafunzi
mbalimbali.
Akizungumzia jambo lililomsukuma kuandi ka kitabu hicho, Nancy alisema:
Vilinisukuma vitu vingi, kwanza nafasi ya mwanamke kwenye jamii yetu,
umuhimu wake, sababu ya kumuenzi na kumsherehekea na kutambua michango
yetu, mwanamke mdogo, msichana mdogo, mama zetu, bibi zetu. Kuna kila
sababu ya sisi kuangaliana na kutambuana na pia kufananisha.

Profesa Mwaikambo akikielezea kitabu hicho
Profesa Mwaikambo akimuonesha picha ya kwenye kitabu hicho mtoto wa Nancy, Zuri
Sababu baada ya kutembea kwenye shule nyingi na kuzungumza na
wasichana wengi nimegundua kwamba story zetu zinafanana. Changamoto ni
nyingi tunazozipitia na tunafanana kwa vitu vingi kwahiyo nikaona ni
vyema nikawafananisha wasichana wengi wakamwangalia mwanamke kama Dokta
Migiro wakasikiliza story yake, wakajiona kwenye hiyo hadithi, wakaona
uwezo wao wa kufikia alipofikia Dokta Migiro.
K-Lyinn akisaini kitabu cha waliohudhuria uzinduzi huo
MC wa uzinduzi huo Rebeca Gyumi
Ally Remtullah
K-Lyinn akifuatilia kwa ukaribu uzinduzi
Faraja Nyalandu
Nancy aliongeza kuwa mwanae pia alimchochea kuandika kitabu hicho.
“Baada ya mimi kuwa na Zuri nikaona kuna umuhimu wa yeye kuangalia
wanawake wa kitanzania kama role models. Anaweza akawaangalia
wanaojulikana akawajua pia lakini kuna kila sababu ya kuangalia wanawake
wengi na michango mingi inayofanyika kwenye jamii yake akawatambua
wanawake na kuwaenzi.”
Kuhusu upatikanaji wa kitabu hicho, anasema, “kwanza nitakisambaza
kwenye shule za msingi bure, halafu nitakisambaza kwenye bookshop ambako
kitauzwa, kwahiyo watoto wa shule ya msingi watakuwa na access nacho
bure lakini wengine wengi watakinunua kwenye bookshop. Hizo hela ambazo
zitapatikana zitaprint kitabu na kukisambaza mbali zaidi.”
“Nimepata mchango mkubwa sana kutoka Bongo5 Media Group ambao
wamenisaidia kufanikisha kitabu hiki, nawashukuru sana,” alisema Nancy.
Farja Nyalandu akizungumza

K-Lyinn akizungumza na Ally Remtullah
K-Lyinn
Kaka yake Nancy Sumari, Davis Abraham Sumari (kulia)
Fina Mango

Fina Mangi na Faraja Nyalandu
Akizungumzia kasumba ya watanzania wengi kutopenda kusoma vitabu na
jinsi alivyokabiliana nayo Nancy anasema, “nilimshirikisha mchoraji
mzuri sana kwasababu nilitaka kumvutia mtu kwa wepesi kwanza kiwe
kifupi, yaani kidogo. Ni kitabu ambacho unaweza kukipitia ndani ya
dakika tano. Kuna picha nyingi lakini meseji yake ni nzito sana.”
Kwa upande wake Profesa Mwaikambo(74), ambaye mwaka huu ubalozi wa
Marekani ulimtunuku tuzo ya haki ya Dk Martin Luther King amempongeza
Nancy kwa kuandika kitabu hicho na kusema kuwa watoto wengi hasa wenye
kuanzia umri wa miaka mitatu wataweza kukifurahiia kwa kuangalia picha
tu.
Wanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari King’ongo ya Kimara jijini Dar es Salaam
Shaa na Nancy wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi
Picha ya pamoja na Nancy, K-Lyinn, Ally Remtullah na rafiki

Nancy na Faraja
Mamiss Tanzania wa zamani wakiwa wameshikilia kitabu hicho
Mwanafunzi akifurahia kumsomea mzungu kilichoandikwa kwenye Nyota Yako
Alisema ubongo wa mtoto huanza kukua akiwa na umri wa miezi tisa na
akifikia mwaka mmoja unaweza kumfundisha chochote na akaelewa.
“Hakuna mtoto mdogo mjinga, hakuna, labda kama amezaliwa na mtindio
wa ubongo, lakini mtoto yeyote anayezaliwa na mwanamke ana akili za
kutosha kabisa lakini lazima awe exposed “alisema Profesa Mwaikambo.
Subscribe to:
Posts (Atom)




.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.










