Thursday, October 3, 2013

BABY MADAHA APEWA GARI KALI YA KUTEMBELEA BAADA YA KUSIGN MKATABA CANDY RECORDS

Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa nchini Kenya na gari yake aina ya audi aliyopewa na Record Label ya Candy n’ Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba na kampuni hiyo.


Love to hear what you think!