Sunday, September 29, 2013

NICK MINAJ "MIMI KUTEMBEA MAZIWA NJE HAIKUWA AJALI..SIPENDI KUVAA BRA"


Wiki hii Picha za Nicki Minaj zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho kiliacha maziwa yake nje zilisambaa katika mitandao mbalimbali na kufanya watu wajiulize kama ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au alifanya makusudi kama tulivyomzoea.

Picha hizo pia Minaj mwenyewe alizishare Instagram kumaanisha haikuwa bahati mbaya, lakini kupitia kipindi cha Ellen Nicki amethibitisha kuwa hapendi kuvaa nguo ya kuhifadhi kifua chake (bra) na kuziita nguo hizo ‘devil’.Love to hear what you think!