Sunday, September 15, 2013

HIVI NDIVYO WAFUASI WA RAIS ASSAD WA SYRIA WANAVYOUAWA MBELE YA WANANCHI


Askari wa kundi la ISIS akimwekea jambia shingoni mmoja wa wafuasi wa Bashir al-Assad kabla ya kumkata kichwa.
Baadhi ya mateka wanaomuunga mkono Rais wa Syria, Bashir al-Assad, wakiwekwa eneo la machinjioni.
Mmoja wa askari akiinua juu jambia kumkata mfuasi wa Bashir al-Assad.
Mtoto mdogo raia wa Syria akiangalia mwili wa mfuasi wa Bashir aliyekatwa shingo.
Watoto wakishuhudia mwili wa mfuasi wa Bashir aliyekatwa shingo.
Baadhi ya mateka wakisubiri kuuawa.
WATU wanaomuunga mkono Rais wa Syria, Bashir al-Assad, wamekuwa wakikamatwa na kuuawa mbele ya wananchi.  Mauaji yamekuwa yakifanywa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukatwa shingo au viungo vya mwili kwa kutumia majambia na silaha zingine.
Haya yote hufanyika  mbele ya watu wanaoshangilia na wengi wao wakiwa na silaha. Miongoi mwao ni pamoja na watoto.  Mauaji ya mwisho ambayo yalinaswa hivi karibuni ni yale yaliyotokea katika mji wa Keferghan kaskazini mwa nchi hiyo.
Inasemekana mauaji hayo hufanywa na kundi la ISIS ambalo ni tawi la Al-Qaeda linalompinga Assad na wanaofanyiwa mauaji hayo ni kundi linalojulikana kama Shabiha (Mizimu) ambalo halinmuunga mkono rais huyo
Love to hear what you think!