Friday, July 13, 2012

PICHA ZA MAGARI 20 YA MASTAA WA BONGO0
Hii BENZ ni moja ya magari yanayomilikiwa na Big Boss wa Band ya Twanga Pepeta ASHA BARAKA.
kwa ndani.
Mwimbaji Lady Jaydee amekaa hapa kwa sasa.
.
.
Kwa ndani.
Nafasi tatu ilishikwa na gari la Marehemu Mwigizaji Steven Kanumba. #R.I.P
Staa wa bongofleva Jaffarai ndio amekaa hapa.
Staa wa muziki wa dance kutoka band ya Mapacha Watatu Josee Mara yuko hapa.
.
.
Mkali wa longtime kwenye muziki Rehema Chalamia a.k.a Ray C.
Mwigizaji wa longtime Dokii.
Malikia wa muziki wa Taarab Khadija Kopa.
Mwimbaji Linah.
.
Mwimbaji wa bongofleva AMINI.
.
Mkali wa bongo fleva Bob Juniour.
.
Barnaba ametulia hapa.
Ndani anatembea na Biblia na gitaa.
.
Mkongwe wa bongofleva Dully Sykes.
Star wa bongofleva DIAMOND PLATNUMS enzi hizo hajanunua mkoko mpya alionao sasa ambao utaingia kwenye list ijayo ya magari ya mastaa.
.
Profesa J baada ya kuachana na BMW na BENZ ameamua kukaa huku kwenye Spacio.
Mchezaji wa timu ya taifa na club ya Azam FC Erasto Nyoni.
Pastor Muyava Mwigizaji wa movie.
Mshindi wa Tusker Project fame Peter Msechu ndio amekaa hapa.
.
kwa ndani.
Golkipa wa Yanga/Mtibwa Shaban Kado.
Mkali kutoka TipTop Connection Madee
.
.
Unaweza kulike au kutweet hii story ili na wenzako wa facebook na twitter waione, shukrani!Love to hear what you think!