Thursday, September 19, 2013

HATIMAYE RAY C ANUNUA GARI JIPYA...LITIZAME HAPA


STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameuanika ‘mkoko’(gari) wake ambao anatembelea kwa sasa aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family..... 

Love to hear what you think!