Sunday, September 22, 2013

HAPPINESS WATIMANYWA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA 2013

Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa (katikati) akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi. Kushoto ni mshindi wa pili, Latifa Mohamed na mshindi wa tatu, Clara Bayo (kulia).
Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akipozi na washiriki wenzake wa shindano hilo.…

Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akipozi na washiriki wenzake wa shindano hilo.
Happiness Watimanywa akiwa na ufunguo wa gari lake alilojishindia.
Warembo walioingia tano bora.
Gari la Redd's Miss Tanzania 2013.
Happiness Watimanywa akikabidhiwa ufunguo wa gari lake aina ya Toyota IST.
Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' akitumbuiza wakati wa shindano hilo.
(PICHA NA GPL TEAM)Love to hear what you think!