Friday, June 14, 2013

SHOW YA MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... WAJITOKEZA WATU WACHACHE-TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPANilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu. FA katia huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na wanafunzi wachache wa IFM ambao walikua wakiingia kwa bei ya kandambili. Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka kwa 5,000/- kwamba boom limekata... Mdau
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
 Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
 Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.
 Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.
Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013.
Angalia VIDEo hapaLove to hear what you think!