Saturday, June 8, 2013

AJALI MAENEO YA VICTORIA DAR YAUA DEREVA BAJAJIDk Frank E. kwenyenukurasa wake wa FB ametuma picha hizi na maelezo yanayosema, "Ajali imetokea sasa hivi hapa Jet Nyerere Road opp. Victoria Fillling Station. Verossa kagonga bajaj. Dereva wa bajaj kafa on the spot wa verossa kakimbia. Tumeshindwa kumkimbiza , sababu ya taharuki ya tukio zima. What a way to start my day!!"

Muda alioandika ujumbe huo ni mwendo wa saa tano kasoro adhuhuri.

Ajali hizi...Love to hear what you think!