Saturday, May 11, 2013

SITAISAHAU SIKU NILIYOLISHWA KINYESI CHANGU NA MAKAMASI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU...Ilikua ni mwaka 2011  nilipomaliza shahada yangu ya kwanza chuo kikuu cha Dar es Salaam na katika harakati za kutafuta ajira nikajikuta nimejiingiza kwenye mahusiano na mke wa mtu ambaye nilikutana nae pale posta kwenye ofisi flani ambayo nisingependa kuitaja jina

Nakumbuka vizuri sana siku ya tukio kwani siwezi kuisahau kamwe.


Ilikuwa ni  jumapili maeneo ya kinondoni kwenye hotel ya chichi hotel . Tulifika majira ya saa 8 mchana na wakati  tukiwa tunaendelea na tendo mara gafla mlango uligongwa na nilienda kuufungua ...

Wakati naufungua , gafla nilikutana na wanaume wanne waliojazia misuli ....


Kwanza  walinitandika  makofi,  halafu wakaniambia nichague wanilawiti au nile mavi yangu na makamasi ....


Mwanzo nilidhani   ni  utani...Baada ya kubishana  nao  kwa  muda  huku  wakinipiga, wawili  walinishika   kwa nguvu na kutaka kunipaka mafuta .....


Hapo  ndipo  ikanibidi  nikubali kula mavi yangu ambayo walinilazimisha kujisadia mbele yao na mmoja wao ambaye alikuwa na mafua alipenga makamasi mengi na kunilazimisha nile kama mlenda ....

Ni tukio ambalo  sitalisahau...Tangu  siku  hiyo  nauchukia  sana  mwili  wangu....Natamani  hata  kuikata  niwape  mbwa  wale !!
  
ni  mimi,
Mdau  wenu


Love to hear what you think!