Saturday, May 4, 2013

BOSI RUGE ACHOKA KUVUMILIA, SASA KUMFUNGIA KAZI LADY JAY DEE..!Bosi ruge atatoa ufafanuzi siku ya Jumatatu asubuhi kupitia kipindi cha  Power Breakfast ndani ya redio Clouds FM. Wiki chache zilizopita nyota wa Bongo Flava , Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii


Love to hear what you think!