Wednesday, October 17, 2012

GARDEN YAGEUZWA SEHEMU YA KUFANYIA MAPENZI MITI NDO VITANDA

Hakika huu ndo mwisho wa dunia........Huu ni uchafu ambao hufanyika katika Garden moja ijulikano kwa jina la Murilo....... 

Ni kitovu cha uchafu, laana, maasi na dhambi zooooooote unazozijua hapa duniani........
Hiyo ni kambi ya Vigogo,wanasiasa na wasanii mbali mbali toka Tanzania, Kenya na Uganda.......

Kahaba ni kahaba tu......Malaya ni malaya tu. Hakika wanadamu tumeasi.Iko haja ya kumrudia mwenyezi mungu........

Kitovu cha uchafu huo kipo Kenya.Love to hear what you think!