Tuesday, October 2, 2012

DIAMOND NA WEMA SEPETU SASA NDANI YA FILAMU MOJA YA "CROSS OF LOVE"


Kwa mara ya kwanza Diamond anatarajiwa kuonekana katika movie za kibongo chini ya mwenyei wake Wema Sepetu, ambaye alikuwa ni mpenzi wake wa zamani....

Filamu hiyo itakayo mjuuisha Ommy Dimpoz inaitwa Cross of Love.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Movie hiyo imeandaliwa na kuandikwa na Seles Mapunda ambaye ndo director mkuu wa "Cross of Love" na kwamba maandalizi yanaendelea vizuri

"Maandalizi ya filamu hiyo yapo katika hatua za mwisho kabisa na imebaki kazi ya casting ya washiriki 15 tu"...kilitonya chanzo chetu

Hii ni nafasi ya nyingine kwa Diamond kukuza kipaji chakeLove to hear what you think!