Mwenyekiti  wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma 
Kikwete akiwa  na  baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali wakifurahia 
uzinduzi wa Mpango wa  Kasi  ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo 
Agosti 24, 2012 katika  ukumbi wa  Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar 
es salaam. Picha na  Ikulu
Mwenyekiti
  wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na
  aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro  
baada ya Mama Kikwete kuzindua Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake 
 na Wasichana leo Agosti 24, 2012 katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt  
Regency jijini Dar es salaam 


 
