Sunday, July 15, 2012

SHILOLE, LINAH WAFANYA KUFURU ZIFF

Shilole akijituma ipasavyo jukwaani.
 
...Akiimba pamoja na mwanamuziki wake anayejulikana kwa jina moja la utani la ‘Nipishe’.
 
Shilole akiserebuka na shabiki wake jukwaani.
Estalinah Sanga ‘Linah’ naye akiimba kwa hisia.
 
Mtangazaji wa kipindi cha Ben and Mai, Benny Kinyaiya (wa kwanza kushoto) akiwa amepozi nyuma ya jukwaa.
 
Mcheza Shoo wa Shilole, Salma Madaraka akionyesha jinsi ya kunengua.
 
Wacheza shoo wa Shilole wakionyesha nyonga zao.
…Hapo sasa Shilole akiwajibika.
----
Wanamuziki mahiri wa kike nchini Zuwena Mustapha ‘Shilole’ na Estalinah Sanga "Linah" hivi karibuni walifanya kufuru ya mwaka kwenye onyesho lao walilofanya katika ukumbi wa ngome Kongwe uliyopo visiwani Zanzibar kwenye tamasha la filamu Zanzibar ‘ZIFF’.
(PICHA ZOTE NA IMELDA MTEMA/GPL, ZANZIBAR


Love to hear what you think!