Tuesday, July 17, 2012

PICHA ZA AJALI YA MSANII CHEGE.


Ajali imetokea Temeke karibu na VETA Dar es salaam July 16 2012 usiku kati ya saa nne na saa tano ambapo muendesha pikipiki aliingia ghafla barabarani na ndio akawa chanzo, baada ya ajali yeye ndie alieumia kuliko wenzake (mwendesha pikipiki)

Hili ndio gari analolimiliki Chege ambapo alikua na watu wengine ambao wote wamenusurika, Chege kaumia mkono tu lakini mwenye pikipiki kalazwa Hospitali.

.

Kilichomsaidia Chege pia ni kufunga mkanda.

Wakati Chege anaipata hii ajali alikua anatoka Temeke kuchukua CD yake kwa ajili ya show atakayoifanya July 17 2012 Kigoma Tanzania.

.

.

Chege akiwa kituo cha Polisi Chango’mbe.

.

.

Chege akiwa anatoka kituoni baada ya kumaliza kutoa maelezo.
.

.



Love to hear what you think!