Sunday, July 22, 2012

NAPE ATUA KIGOMA, KUUNGURUMA UWANJA WA COMMUNITY CETRE MWANGA MCHANA HUU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM,  Nape Nnauye akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo kwa ajili ya mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye Uwanja wa Comunity Centre, Mwanga mkoani humo. Kushoto ni Mbunge wa Kigoma mjini, Peter Serukamba (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili na Nape kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani humo leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki na vijana kucheza ngoma ya Kasimbo ya mkoa wa Kigoma, baada ya kuwasili Uwanja wa Kipampa mkoani humo, leo
Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kutoka uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo



Love to hear what you think!