Wednesday, July 25, 2012

KITUMBO CHA LADY JAYDEE CHAZIDI KUKUA



Na Amrani Kaima

 ZIKIWA zimekatika siku kadhaa tangu mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ (pichani) alazwe nchini Ufaransa akisumbuliwa na ugonjwa aliouita wa ‘heri’, tumbo lake limeonekana kuwa kubwa zaidi na kufanya minong’ono kwamba tayari ni mjamzito.



Amani limekuwa likifuatilia kwa karibu afya ya mwanamuziki huyo ambaye ni mke wa aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM,Clouds FM, Gardner G.
Habbash na hivi karibuni kwenye ‘blog’ yake alitundika picha ikimuonesha ametinga nguo nyeupe huku tumbo lake likiwa ndii.

Picha hiyo ilizua gumzo kwa mashabiki wake huku wengi wakishadadia kwa kusema lazima litakuwa tumbo la mimba.
Chanzo ni http://www.globalpublishers



Love to hear what you think!