Thursday, July 26, 2012

ANGALIA PICHA Z BIRTHDAY PARTY YA ANNA MAKINDA AKITIMIZA MIAKA 63 MJINI DODOMA

Bi Lina Kitosi akimlisha Mhe. Spika keki kwa niaba ya Wafanyakazi wa Bunge wakati wa Birthday yake ya 63 iliyofanyika jana mjini Dodoma, 

Ni Birthday ya 63 ya Mhe. Spika Anne Makinda, Mb.
Keki ya Birthday

Wapambe wakiwasilisha Keki
Pokea Keki Mama
Asanteni sana
 Spika Anne Makinda akipokea keki kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge.
Spika wa Bunge Mh. Anne makinda akimlisha keki
 Spika wa Bungbe Anne Makinda akikata keki tayari kwa kuila katika birthday yake jana.
 Mhe. Spika Anne Makinda, Mb.akikata keki katika birthday yake jana.Love to hear what you think!