Beyonce.
Picha zote za mastaa unazoziona
hapa zinaonyesha jinsi walivyovaa kwenye Redcarpet ya tuzo za Grammy
2013 ambapo kwa ubunifu wake, Tricia Messeroux
aliamua kufanya project ya kuwapiga picha watoto ambao wanafanana na
baadhi ya mastaa waliotokelezea kwenye Grammy na kuwavalisha kama wao….
Rihanna.
Adele.
Justin Timberlake.
Taylor Swift.