|
Marehemu Fundikira |
|
Walio hukumiwa Kifo |
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda
Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe
(37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia
na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.