Leo
siku ya pili October 2013 zimetokea vurugu huko 87.8 Mbeya baada ya
wafanyabiashara kugoma kununua mashine za TRA zenye thamani ya Tsh
800,000 ambapo baadae walitawanywa na mabomu ya machozi kutoka kwa
Polisi… hizi ni baadhi ya picha za tukio lenyewe
Picha zote hizi na mbeyayetu.blogspot.com
Picha zote hizi na mbeyayetu.blogspot.com